Pages

Pages

Pages

Friday, March 5, 2021

Mkutano wa kidiplomasia kati ya Burundi na Tanzania

 Tanzania ni moja ya nchi afrika mashariki yenye amani sana


Mamlaka nchini Senegal zimesitisha matangazo ya vituo viwili vya televisheni za kibinafsi baada ya kuzilaumu kwa kuangazia zaidi maandamano yaliyosababishwa na kukamatwa kwa kiongozi wa upinzani, Ousmane Sonko.

Vituo viwili vilivyoathirika na uamuzi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Matangazo nchini humo ni Sen TV na Walf TV.

Vituo hivyo vimeshutumiwa kwa upeperushaji wa picha zinazoonesha maandamano baada ya Bwana Sonko kukamatwa, Shirika la habari la AFP limeripoti.

Siku ya Alhamisi, polisi walikabiliana na wafuasi wa Bw. Sonko mjini Bignona kusini mwa eneo la Casamance.

Serikali imethibitisha kuwa mtu mmoja aliuawa siku ya katika ghasia za Alhamisi zilizotokana na kukamatwa na Bw. Sonko mjini Dakar mapema siku hiyo.

Bw. Sonko amelaumiwa kwa kumbaka mwanamke mm

No comments:

Post a Comment

SALES IN TANZANIA

 SALES How to Buy Or Sell Shares/Securities Must have a CDS Account with DSE CSD - No fee for Opening a CDS Account   Requirements for Openi...